UNCOMMON LIFE
Member
- May 13, 2017
- 59
- 28
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunashukuru imeanza vyema sijui kwako?Jinsi mlivyochangamka siku imeanza vizuri
Itakuwaa hajaamka ila tumsubiri akija atuelekeze mana tusije tukakurupuka mwishowe tukazitumia pasipohitajika [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Usijali my kumekuchaKwangu ipo vizuri kabisa
That it'sKwa kizungu wanaita Carbon Copy, mimi huwa natumia hilo neno kumuita mtu fulani na yeye aje achangie mada husika kwa kutoa ufafanuzi na sio kwa show off
Cc😡Numbisa
Hahahaha zinatumika pale unapoona kuna umuhimu wa kumtaja mtu kwenye thread husika
CC: swahiba92cc: CHIKIRA MTABARI Hizo CC zinapaswa kuwa herufi kubwa au ndogo? Au unachanganya kubwa na ndogo??
Aah taratibu,nimedanganya nina ka gari ka mkopo wewe wataja baiskel jaman
😀
Nakuona....
Hahaaa saiv navizia wanaojiita Don