Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Uliidaka Cc? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona nisikusumbueNakuona....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliidaka Cc? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona nisikusumbueNakuona....
Mbutaah!Uliidaka Cc? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona nisikusumbue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbutaah!
Nimeona, kufika nakuta umem-Cc mwingine. Ikabidi nizuge kupotezea. Hahahaha
Cc@NumbisaNaombeni kufahamu maana na matumizi ya neno Cc humu JF. Je lengo ni kumuita mtu au kumtaja tu?
Mara nyingi huwa naona watu wana andika cc fulani bila kumtag mhusika sasa najiuliza usipomtag mhusika atajuaje umemcc kwenye huo uzi?au neno Cc ilinawekwa tu kama showoff?
Pongezi kwa wale wanao weka cc kisha wanamtag na mhusika ili aone na kuwahi eneo la tukio.
Mfano Cc Numbisa
Cc @ andika jina la mhusika bila kuruka mstar hapo kwenye @ na jina
Ni aibu sana. Sasa mtu mzima ukivuliwa nguo Unachutama. Ndivyo nilivyofanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikukumbuka wewe sababu ndo ulinifundisha kumtag mtu!!! You are my teacher! Nilitaka uone mwanafunzi kahitimuNi aibu sana. Sasa mtu mzima ukivuliwa nguo Unachutama. Ndivyo nilivyofanya.
AsanteeeNiongezee CARBON COPY
Huu ni msamiati unatumiwa kwenye e-mail kunakuwa na carbon copy na blind carbon copy matumizi yake ni kama ifuatavyo:
mfano unataka kutuma e-mail kwa Numbisa Jovitha mahondaw Smart911 Troll JF Hance Mtanashati
kwenye kutuma unaweza ukamtumia Numbisa, jovitha na mahondaw ila kama unataka smart911, trol jf na hance mtanashati wajuane kwamba e-mail moja umewatumia wote na wote wanajua nani aliyetumiwa ndo hapo CC INAPOCHEZA
Ila kama hutaki wajuane ndo BCC inahusika ila kunakuwa na taarifa kwamba na wengine wametumiwa ujumbe huo bila kukupa taarifa ni nani hao
Nashukuru Mwanafunzi umeweza. Hongera sana. Ubarikiwe kwa kutambua Mchango wa Mwl.Nilikukumbukka wewe sababu ndo ulinifundisha kumtag mtu!!! You are my teacher! Nilitaka uone mwanafunzi kahitimu
Tayari umeshajitaja,ngoja niandae picha za mtoso hapa