Matumizi ya neno ''Gone''

Nawaza tu:

She is gone - gone hapa ni sifa (kama vile she is tall, nk)

She has gone - gone hii ni tendo
 
Naomba tofauti ya sentensi hizi

1. She is gone.
2.She has gone.
1. She is gone ... Amefariki/ ametutoka/ hayuko tena nasi ...

[emoji837] "Gone" kama "past participle" ya "go" humaanisha pia "kufariki"

Ni kama kusema ... "she's no longer with us"

2. She has gone ... Amekwenda

[emoji838] "Gone" kama "past participle" ya "go" lamaanisha "kwenda" tendo la kutoka eneo moja kwenda jingine .... Tungo hii ya pili yaonesha tendo lililotendwa na kutimia ( timilifu ) katika wakati uliopo ( Present Perfect Tense )
 
Unachanganya sana Literal meaning na dictionary meaning bila kufahamu muuliza swali anakusudia nini.

Kwa nini usimuombe muuliza swali ajenge swali lake vyema? (Aeleweke)
 
Kama vile kusema
She is clean ADJECTIVE
She cleans VERB
Yawezekana ukawa unafahamu kitu, lakini unakurupuka kujibu maswali ambayo ajajifafanua katika kuuliza.

Kifupi muuliza swali anapaswa kujenga vizuri swali lake.
 
Wewe ndio unaonekana umechemka
Kama hujanielewa namaanisha nini ni vyema ungeniuliza na maanisha nini (what do you mean?). Hii ingekusaidia kufahamu nini namaanisha. Ila nafasi bado unayo, unaweza niuliza.
 
Unachanganya sana Literal meaning na dictionary meaning bila kufahamu muuliza swali anakusudia nini.

Kwa nini usimuombe muuliza swali ajenge swali lake vyema? (Aeleweke)
Asante kwa ushauri wako .... heri kwako wewe mwenye uelewa .... by the way nngetaraji baada ya ku-criticise ungemsaidia muuliza swali/mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…