Ahsante sana kwa majibu mazuri.
Kimsingi muuliza swali ameshindwa kubainisha nataka kufahamu neno "gone" lipo sawa katika level ipi (Syntax au Semantic) au (applicability au acceptability)
Kwa kifupi ni kwamba:
1. Sentence zote ni sawa katika level ya Syntax au applicability. Maana zimefata principle ya Subject verb agreement yaani sentensi ianze na Jina kisha ifuatiwe na kitenzi au kirai kitenzi (verb phrase).
2. Tukija katika level ya Semantic au acceptability pia sentence zote ni sawa maana namba moja inamaana ya kifasihi (literal meaning) na sentensi namba mbili inamaana ya msingi (dictionary meaning).
Hivyo, kulikuwa kuna haja ya muliiza swali kufafanua anauliza katika level ipi, chakushangaza watu wanajibu swali lenye utata (ambiguity) kimsingiblazima uchemke.