Yaani wewe ndie boys kabisa. Hujui hata maana ya kingereza ni niniKama hujanielewa namaanisha nini ni vyema ungeniuliza na maanisha nini (what do you mean?). Hii ingekusaidia kufahamu nini namaanisha. Ila nafasi bado unayo, unaweza niuliza.
Muuliza swali kaeleweka vizuri kabisa .... kwa wataalamu wa English grammar watakuwa shahidi kwanguUnachanganya sana Literal meaning na dictionary meaning bila kufahamu muuliza swali anakusudia nini.
Kwa nini usimuombe muuliza swali ajenge swali lake vyema? (Aeleweke)
Ahsante sana kwa majibu mazuri.Asante kwa ushauri wako .... heri kwako wewe mwenye uelewa .... by the way nngetaraji baada ya ku-criticise ungemsaidia muuliza swali/mtoa mada
Soma uzi wangu namba 23 utaona majibu.Muuliza swali kaeleweka vizuri kabisa .... kwa wataalamu wa English grammar watakuwa shahidi kwangu
Kama wewe hakika ni mtaalamu wa English grammar, eleza makosa ( grammatical errors ) katika hizo tungo mbili zilizotolewa na mleta uzi
Soma comment yangu namba 23 unanielewa vizuri.Yaani wewe ndie boys kabisa. Hujui hata maana ya kingereza ni nini
Soma comment yangu namba 23 utapata kitu.Naomba tofauti ya sentensi hizi
1. She is gone.
2.She has gone.
Being educated is very important but having the ABILITY of UNDERSTANDING is more important ....Ahsante sana kwa majibu mazuri.
Kimsingi muuliza swali ameshindwa kubainisha nataka kufahamu neno "gone" lipo sawa katika level ipi (Syntax au Semantic) au (applicability au acceptability)
Kwa kifupi ni kwamba:
1. Sentence zote ni sawa katika level ya Syntax au applicability. Maana zimefata principle ya Subject verb agreement yaani sentensi ianze na Jina kisha ifuatiwe na kitenzi au kirai kitenzi (verb phrase).
2. Tukija katika level ya Semantic au acceptability pia sentence zote ni sawa maana namba moja inamaana ya kifasihi (literal meaning) na sentensi namba mbili inamaana ya msingi (dictionary meaning).
Hivyo, kulikuwa kuna haja ya muliiza swali kufafanua anauliza katika level ipi, chakushangaza watu wanajibu swali lenye utata (ambiguity) kimsingiblazima uchemke.
Ahsante kwa ushauri!Being educated is very important but having the ABILITY of UNDERSTANDING is more important ....
Kama wewe ni mwl. wa lugha na ukauchukua huo mtazamo wako na KIBURI plus DHARAU kwa wengine .... hakika darasa lako litatoa FAILURES
Change that mindset of yours bro before it's too late.
Nikorogowe mkuu. Hapo nimejitahidi kweli.Umekoroga sana.
ameshasema *anawaza tu*Duh! Umesoma engineering? Maana hauoneshi dalili ya kusoma Kiingereza.
Ujanisomesha wewe. Mwana haram wewe. Kwani mimi ndo nilikuambia ufeli form 2. Usijitie mapana ka pazia la cinema. Mother fuckerYawezekana ukawa unafahamu kitu, lakini unakurupuka kujibu maswali ambayo ajajifafanua katika kuuliza.
Kifupi muuliza swali anapaswa kujenga vizuri swali lake.
Oh sweet darling. Usimtukane. Pamoja na kwamba anaonekana ana dharau badala ya kutoa msaada.Ujanisomesha wewe. Mwana haram wewe. Kwani mimi ndo nilikuambia ufeli form 2. Usijitie mapana ka pazia la cinema. Mother fucker
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Nikweli sijakusomesha mimi, maana ningekusomesha mimi ungeelimika. Aliokusomesha ndio kakupa hiyo elimu ya matusi.Ujanisomesha wewe. Mwana haram wewe. Kwani mimi ndo nilikuambia ufeli form 2. Usijitie mapana ka pazia la cinema. Mother fucker
Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
Nimekuelewa sana na hata mimi mwanzo nlikuwa naelewa hivi...big up ila mjomba ukipunguza dharau itakuwa poa sana...yaani ingekuwa wote tunajua kila kitu basi amini hata jamiiforums isingekuwepoAhsante sana kwa majibu mazuri.
Kimsingi muuliza swali ameshindwa kubainisha nataka kufahamu neno "gone" lipo sawa katika level ipi (Syntax au Semantic) au (applicability au acceptability)
Kwa kifupi ni kwamba:
1. Sentence zote ni sawa katika level ya Syntax au applicability. Maana zimefata principle ya Subject verb agreement yaani sentensi ianze na Jina kisha ifuatiwe na kitenzi au kirai kitenzi (verb phrase).
2. Tukija katika level ya Semantic au acceptability pia sentence zote ni sawa maana namba moja inamaana ya kifasihi (literal meaning) na sentensi namba mbili inamaana ya msingi (dictionary meaning).
Hivyo, kulikuwa kuna haja ya muliiza swali kufafanua anauliza katika level ipi, chakushangaza watu wanajibu swali lenye utata (ambiguity) kimsingiblazima uchemke.
Ahsante sana kwa ushauri! Tajitahidi kuufanyia kazi maana wengi wemenishauri kuhusu dharau.Nimekuelewa sana na hata mimi mwanzo nlikuwa naelewa hivi...big up ila mjomba ukipunguza dharau itakuwa poa sana...yaani ingekuwa wote tunajua kila kitu basi amini hata jamiiforums isingekuwepo
Kama vile kusema
She is clean ADJECTIVE
She cleans VERB
Kawnza kuna finite na non finite verb. Non finite ni verb ambazo hazionyeshi time tense or aspect. Mfano.gone is not an adj
Kiufupi neno unaweza kulibadilisha kulingana na unataka kumanisha nini. Mfano table ni noun lakini unaweza kulitumia kama verb Eg.gone is not an adj
Namtia adabu hivi vitoto vya form 2 failure vina bipolarOh sweet darling. Usimtukane. Pamoja na kwamba anaonekana ana dharau badala ya kutoa msaada.
Na 1 ni sentensi kamili na inaeleweka, na 2 ni sentensi ambayo haijajitosheleza, inahitaji nyongeza ili kubeba maana, e.g. she has gone home/out/to school/to hospital nk nk.Naomba tofauti ya sentensi hizi
1. She is gone.
2.She has gone.