Duu wengi hawajaenda darasani kujifunza kujenga sentensi pia kwenye jamii zetu kuna watu wenye uelewa tofauti lakini ni Bora tuanze na waliomo humuNeno "kuweza" limekuwa linatumiwa vibaya sana kwenye kiswahili cha siku hizi. Luna mifano mingiya matumizi hayo haramu kwa mfano kwenye sentensi hii ina makosa:
"Mchezaji wa zamani wa timu A ambaye aliweza kufukuzwa kwenye timu hiyo, sasa hivi kajiunga na timu B."
Naomba thread hii ikusanye matumizi yote haramu ya neno kuwez, nitayaweka pamoja na kiuyapeleka BAKITA kwa ufumbuzi
Bora hata waseme hivyo kwamba wamepata matokeo, goli likifungwa mdau anauliza nani kashinda wakati huohuo mchezo unaendelea kumbe anamaanisha nani kafunga goli, yaani mradi tunaishi tuLugha inakua, timu ikishinda siku hizi wanasema imepata matokeo.
Hiki ndicho nilichotaka kukoment 😂🤣We kuweza!?
Nimesikia matumizi hayo kwenye vyombo vingi vya habari mitandani. Linatumiwa mahali lisipohijiwa kabisa. Wengine wanasema ".... Timu A ambayo iliweza kufungwa na timu B kwenye mchuano wa jana, leo hii itasafiri kwenda kupambana na timu C."Umetumia wewe au sehemu/watu tofauti na wewe wametumia?
Ujanja ni kuwahi😂Hiki ndi
Hiki ndicho nilichotaka kukoment 😂🤣
Hii ni hatua ya mbele zaidi (advanced level) ya matumizi mabovu ya hilo neno 😄We kuweza!?
🤣 "we kuweza" 🤣Ujanja ni kuwahi😂