Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,529
- 1,119
Ukiangalia vipindi vya wenzetu wanaotumia kiiengereza, vipindi vya televisheni vya moja kwa moja hukuta wameandika neno LIVE kwa juu pembeni na mara nyingi ni upande wa mkono wako wa kushoto ukiwa unatizama luninga yako, sasa basi, hivi Tanzania kama wadau wakubwa wa kiswahili hatuna tafsiri ya neno LIVE kwa kiswahili mpaka tuliandike vile vile kwa kiingereza wakati kipindi cha moja kwa moja na ni cha kiswahili?