Najiuliza ni kuwa sasa ni fasheni au
ndio labda waofanya hivi wanafanya makusudi
pengine wakihisi wanakuwa more sexy...hasa wasichana....
unakuta mtu mzima,na shule kaenda lakini katika mazungumzo
unasikia anasema nanilii..
akimaanisha nanihii,
zamani ilikuwa ni watoto tu ndo wenye kukosea huku,
siku hizi wasichana wakubwa tu ndo zaidi....
na idadi inaongezeka.......
sasa huwa najiuliza hivi kusema "nanilii"
ni fasheni au kunasababishwa na nini??????????
ha ha ha sasa unapomdekea mtu
na wewe uko na mtu?????
Nanihii inaweza kuwa na maana tofauti katika mazungumzo, lakini siku hizi neno hili inatumika sana katika mazungumzo ya kikubwa ambayo kauli ya "Ashakum si matusi" ingebidi itamkwe kabla ya neno husika.
siokwamba wana invite??????
si umesema wanadeka.
so kudeka si ni ku invite au mimi sielewi?
ha ha haaa
tayari mbona lol
Mimi nimefanya nini nanilii???!ha ha ha ha
wewe lol
ha ha haaa
tayari mbona lol