matumizi ya neno" nanilii"

a gal's gotta be shy a lil bit banaa!hilo neno linatumika kuficha neno ambalo tunaona aibu kulitamka. mbona hata baba nanilii analitumiaga akiomba naniliu?:A S-rose:
 
a gal's gotta be shy a lil bit banaa!hilo neno linatumika kuficha neno ambalo tunaona aibu kulitamka. mbona hata baba nanilii analitumiaga akiomba nanilii?:A S-rose:
Alaaa kumbe!!
 
Wengine wanaenda mbali na kusema 'naniliu'! Mara nyingi inatumika katika muktadha usio rasmi kuficha/kuacha kutamka/andika kitu ambacho mzungumzaji anahisi kitaleta ukakasi kwa wasilkilizaji/wasomaji.
 
Jina la mtu hilo, mchezaji wa Man utd Luis Nanii! So wengine hutumia km jina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…