Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 852
After shave ni tafauti na cologne
Kuongezea tu kwa aliosema eksi kidumu wangu
Nnavyojua kuna:
1. Cologne
2. Eu de Toilette
3. Deodorant, Body Spray
4.Body Mist.
5.Sterilizer
Mara nyingi hizi zote zinakuwa na "Perfume" ili zinukie, perfume ni mchanganyiko wa mafuta na viungo vingine vitoavyo harufu, sasa tukija kwenye matumizi ndio concentation hapo ina tofautiana, cologne ina more "concentrates" kuliko deodorant na eu de toilette, sasa hapo inahitaji kujua unataka nini na kwa matumizi gani, kwasababu kazi ya eu de toilette na deodorant ni kuondoa tu harufu ya jasho la mwili ,na husifika kwa kukaa muda mfupi tu ila Cologne ina uweo wa kukaa muda mrefu na haipakwi kwenye mwili kama body spray, eu de toilette au deodorants.
That is how I know so far nilivyokaa na wafaransa kidoogo au unasemaje King'asti eksi kidumu wangu unajua kabla sijaja kwako niliachana na kale kadada ka french.