Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
KWA UFUPI
Joseph: They're her cars/ they're hers. (ni magari yake (mwanamke/ni yake)
Katika somo lililopita tumeona jinsi ya kuuliza umiliki kwa kutumia WHOSE. Somo la leo litajikita katika kujibu maswali yanayohusu umiliki kwa kutumia maneno yanayoonyesha umiliki.
Maneno hayo ambayo pia tumekwishajifunza katika masomo yaliyopita ni: my, mine, your, yours, our, ours, his, her, hers, its, their, theirs.
Fuatilia kwa makini mifano ya majibizano yafuatayo. Majibu mawili yametolewa. Lolote baina ya majibu hayo ni sahihi.
i. Juma : Whose phone is this?
Jumanne : It's my phone/It's mine. (ni simu yangu/ ni yangu)
ii. John : Whose cars are those?

iii. Amina: Whose country is this?
Joyce: It's our country/it's ours. (ni nchi yetu/ni yetu)
iv. Neema: Whose motorcycles are these?
Baraka: They're their motorcycles/they're theirs. (ni pikipiki zao/ni zao)
v. Ali : Whose food is this?
Albert: It's your food/it's yours. (ni chakula chako/ni chako)
vi. Farid: whose coat is this?
Farida: it's his coat/it's his. (ni koti lake(mwanaume)/ni lake)
KUMBUKA:
It's ni kifupi cha it is. They're ni kifupi cha they are
EXERCISE 1
Sentensi zifuatazo ni majibu ya swali: whose………………? Jaza sehemu zilizoachwa wazi kwa kutumia : my, mine, your, yours, our,ours, his, her, hers, their, theirs.
Mfano: it's your house/ It's yours.
i. They're …………..shoes/They're hers.
ii. They're our football team/They're………….
iii. It's my key/It's ………………
iv. They're his bags/ They're…………
v. They're ……..roads/they're ours.
EXERCISE 2
Tafuta mtu anayependa kujifunza Kiingereza kama wewe kisha muulizane na kujibu umiliki wa vitu mbalimbali kwa kutumia swali linaloanza na; WHOSE……..? source.Matumizi ya neno whose- Makala - mwananchi.co.tz