matumizi ya new ID yasitishwe humu!

Hembu niambie watafaham vipi, manake IT ilinipitia mbali kidogo.

Mkuu sasa nikianika siri hizo unataka wadau wa shughuli hizo wajipigie wanavyotaka? Kumbuka tu kuwa unapoona umetupia kitu kisichofaa kwenye mitandao na upo salama ujue bado hujagusa maslahi ya wenye uwezo wa kukupata.
 
Mkuu sasa nikianika siri hizo unataka wadau wa shughuli hizo wajipigie wanavyotaka? Kumbuka tu kuwa unapoona umetupia kitu kisichofaa kwenye mitandao na upo salama ujue bado hujagusa maslahi ya wenye uwezo wa kukupata.

Nadhani ni siri kwetu tusiojua, otherwise kama nimetujia fake email fake email address, fake jf ID, public internet, sidhani kama watajua mimi ni nani!
Nielimishe bwana!
 
he he he hureeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
hata hilo hujui unajishongondoa nini sasa hapa nipishe!!!!!!

Sio kwamba nilipouliza nilikuwa sijui ni nini unamaanisha, au umevimba kichwa kwa kuitwa madam?

Nilikuwa nakulia pozi kwa kujisahaulisha maradhi yako na kujifanya hujui biashara yako ina madhara gani. Hivi hujagundua kuwa kila likitajwa neno 'MCHUMBA' au 'MUME' tayari umeshakurupuka kuwahi kuchangia mada?

Na nakuhakikishia HAUTAOLEWA NG'O, labda umpate mbaba mgane (aliyefiwa na mke) ambaye ni mtu mzima sana awe anatafuta mtu wa kumpikia uji. Lkn kwa style za kushoboka hajawahi kuolewa mtu.

Inspect tundu lako kwanza kabla hujalalamikia wanaume, halafu jikumbushe umetumika mara ngapi. Na nikukumbushe kuwa haina renewal hiyo, ikilegea imelegea...tehe tehe tehe!

Nitakuwa nakushtua nikisikia mtu anatafuta mchumba uwe unajaribujaribu, sawa madam!
 
mkuu siyo wote wanataka kuolewa humu love connect!!!!!!!!!!!!!!!

Ninayemzungumzia ameshajijua wala usiwe na wasiwasi. Aliwahi kumkufuru maulana kwa mdomo wake mchafu na sasa anatamani kutongozwa wa kumtongoza hapatikani. Ana jazba jazba sana na kujua kwingi.

Kwenye kitabu chetu cha dini kumeandikwa kwamba mtu akitembea na baba yake kuna mushkeli, lkn yeye huyo aliwaambia makutano ni sawa tu
 

hii imekaa kiundani na binafsi zaid mkuu!!!!!!!!!!!!
 

si ni mwanaume na ana dushe kwani naolewa ili nikale???????
sina haja ya kuyainspect yameshatumika yote si chini ya mara mia.....
hata mi nikiona pia shost anahitajika nitakushtua te!!!!!!
 

Naomba nikijulishe huyo unayempa umbea wako wa kishost ni mchumba angu!!!!!!
 

usilolijua litakisumbua.....
pole kwa kuwa interested na mie kufatilia kila neno langu bahati mbaya sipo interested kumbe lilikuuma he he he
nishaongea huwezi kulibadili tena hilooo
 
si ni mwanaume na ana dushe kwani naolewa ili nikale???????
sina haja ya kuyainspect yameshatumika yote si chini ya mara mia.....
hata mi nikiona pia shost anahitajika nitakushtua te!!!!!!

mwendawazimu akikuchukulia nguo zako ukiwa unaoga mtoni utatoka uchi kumfukuzia!!!!!!!!?

just leave it , kila mtu ana level yake ya insanity.
 

Na jinsi unavyochangia ndivyo inatoa tafsiri ya wewe jinsi ulivyo hivyo kutumia new ID inakuwa kidogo ni utata
 

kwahiyo na cc wageni jee, tuendelee kupiga pu...etoo!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…