Matumizi ya nguvu badala ya akili ndiposa Dr Kigwangala akawipigisha push up watendaji Jaffo akamtisha mkandarasi hadi akazimia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria.

Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata.

Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia.

Ukinizingua Nakuzingua!
 
Na yule aliyemtandika mwalimu fimbo, je?
Vipi na yule aliye wasukuma ndani...!
Au yule aliye wafunga kwenye vifungashio akawatupa kando kando mwa bahari, ziwa au mto.
 
Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria.

Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata.

Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia.

Ukinizingua Nakuzingua!
Bwashee unafiki unauweza sana
IMG-20210406-WA0101.jpg
IMG_20210406_171600.jpg
 
Back
Top Bottom