John Mwaisengela
Member
- May 6, 2024
- 77
- 103
Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na sintofahamu kwa magari kukamatwa yanapopita njia hizo ambazo bado hazijaanza tumika. Naomba wahusika mtusaidie tufahamu ruhusa ya mkuu wa Mkoa imebadilishwa lini?