Kile kiyoyozi pale kati lol....... kinakufanya usahau maumivu yote
Hata Mimi tangia ni ..... hadi nilishangaa nadhani ule u ac na ubaridi ni dawa
nzuri hizo za baridiiiii hadi rahaa
Kwakwel ata mi ped za HQ zmenisaidia sana tokea nitumie cumwi na tumbo tena
Kile kiyoyozi pale kati lol....... kinakufanya usahau maumivu yote
badae kinapoteleaga wapi naona kinakaa kwa dk chache
mh...mi ule ubarid unanishtuaga kweli..ila ni nzuri
Vingine Vilivyo Stiff Huwa Havikushtui?