Matumizi ya pedi za HQ ni salama kwa afya

Matumizi ya pedi za HQ ni salama kwa afya

Shmy

Senior Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
148
Reaction score
55
Jaman mi nilikuwa naumwa sana tumbo la Mp. Lakin nilipoanza kutumia pad za HQ maumivu yamepungua. Najiuliza hazina madhara yoyote kiafya kutoka na raw material yaliyotumika kutengenezea.

Watalaamu mnisaidie.
 
Hata Mimi tangia ni ..... hadi nilishangaa nadhani ule u ac na ubaridi ni dawa
 
Kwakwel ata mi ped za HQ zmenisaidia sana tokea nitumie cumwi na tumbo tena
 
Kile kiyoyozi pale kati lol....... kinakufanya usahau maumivu yote
 
Ni nzur sn hata mie nazipenda aisee zina ubaridi na gundi yake nzr inakaa vzr kweny chup*
 
Back
Top Bottom