reginahope
Senior Member
- Mar 26, 2013
- 163
- 30
Habari wanajf.
Napenda kuuliza hivi ni kweli hz dawa aina ya postonr 2 zinazuia mimba kwa kumezwa baada ya sex na je hazina madhara yoyote.
Napenda kujua zinafanya kazi vp hadi kuzuia mimba.