Nyangabo2022
Senior Member
- Nov 13, 2022
- 126
- 195
Awali ya yote napenda kumshukuru mwenyez mungu mwingi wa rehema, pia natoa pole Kwa wakulima wenzangu waliokumbwa na ukame katika msimu huu wa kilimo. Jambo lililonileta kwenu nikutaka kujua uhalisia wa mbolea za pumba ya mpunga ufanyaji KAZI wake pindi iwekwapo katika shamban la mahindi, karanga, maharage, alizeti, soya nk.
Nimewaza hili baada ya kukumbana na mvua zilzozidi kiwango Kwa mkoa wa RUVUMA znazopelekea madini kuyeyuka bila mpanglio kwenda chin Zaid ardhini hatimae mimea kukosa madini hayo hivyo huwalazimu wakulima kupata gharama kubwa ya kuendesha licha ya uwepo wa mashamba mengi yasiyotumika.
Lengo langu ni kuingia kusini na kuwa mkulima walau nilime hekari 50 kwenda juu maana mvua na ardhi sio shida Kwa mkoa huu! Sijabobea katika elimu ya kilimo lakn nahc mvua Hz husabanisha tindikali kwenye udongo na Kwa nlivyojarbu kulima mahindi mwaka huu nmekuta sehemu iliyo na majivu mazao ni marefu mara mbili tofauti na sehemu nyingine. Karbun Kwa mawazo yenu.