Matumizi ya 'S' na 'X'

LOOOK

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2011
Posts
3,389
Reaction score
674
Hivi ni kweli wasomi wa tanzaia hawajui matumizi ya 'S' na 'X' ????sababu imekuwa desturi sasa mtu tena msomi unakuta anaandisa xaxa badala ya sasa au axante badala ya asante ,,sasa hii huwa ni utoto,ushamba ,ulimbukeni au ndio kiswahihili cha kisasa.
 
hao wanaoandika hivyo hawajakuwa mature enough usiwalaumu
 
hao ni wasomi wa darasa .za chini.....
 
inakera kwa kweli nimeshawaambia watu wote wanaotaka kunitumia sms kama hawawezi kuandika vizuri bora wapige au waache kunitumia sms za kitoto
 
Oyoo usiwe na jahzba wala munkar na wasamehe ni bora gurudumu liende basi na sisi waswahili wa kibongo huwa hatuna mwamko wa elimu na kama elimu ni ya matusi na mipasho na tafauti na majirani zetu uganda na kenya wako mdundo dundo
 
Xaxa tufanyaje kizazi cha xaxa ndo baxi tena mkuu
 

Huo utoto
 

Mi naona ni utoto, ushamba na ulimbukeni.
 
😛uke: yaani badala ya Sasa anaandika Xaxa hii ni mbaya na sasa imeshika kasi sana mpaka bhalaa
 
Aixee xaxa hii hali inatixha xana tuwaxaidiaje hawa watu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…