Matumizi ya SGR yavunja rekodi mpya mwezi wa Juni, yajayo yanafurahisha

Matumizi ya SGR yavunja rekodi mpya mwezi wa Juni, yajayo yanafurahisha

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Treni za mizigo zimesafiri mara 221 kwa mwezi wa Juni, hii ni rekodi mpya inaashiria maboresho yanayoendelea yanazaa matunda na kwamba wateja wameanza kuzoea na kuukubali mfumo wa SGR.
Wadau tukomae tu, mwendo ndio huu, kitaeleweka, ikumbukwe hela za mkondo wa Naivasha hadi Kisumu na hatimaye Malaba kwenda Kampala zimepatikana, na sasa DRC ipo kwenye hatua za kuingia EAC, hivyo tutaunga kwao pia.
Sudan Kusini juzi walipewa kiwanja cha kujenga bandari ya nchi kavu pale Naivasha, pia bandari ya Kisumu ipo kwenye hatua za mwisho kwenye maboresho pamoja na uzinduzi wa meli itakayokatiza Mwanza, Bukoba, Entebbe na Port Bell.
------------------------------------

A half-year report by the Kenya Ports Authority (KPA) indicated that the Standard Gauge Railway (SGR) freight train had set a new all-time record.

The total of 221 freight trains between the port of Mombasa and Nairobi in the Month of June was a figure that was yet to be achieved ever since the trains maiden trip back in January 2018.

KPA Managing Director, Daniel Manduku, declared that 2,019,002 metric tonnes of cargo had been transported via the SGR freight trains between January and June 2019.

“The performance record at the port of Mombasa is because of the 100 per cent efficiency at the facility. We introduced the ex-hook railage, whereby cargo destined for Nairobi via the SGR is offloaded from the ship and loaded straight to the waiting cargo trains to the hinterland,” Manduku ascertained.

This revolutionary system ensured minimal time wastage at the port of entry as the cargo was directly loaded on to the carriers and ferried to the Inland Container Depot in Embakasi, Nairobi.

January had been the previous 2019 record holder with a total of 214 freight train trips to Nairobi, followed by April and May which both recorded 203 train trips. February and March and recorded relatively low numbers with 172 and 184 respectively.

  • The highly acclaimed ex-hook railage system was claimed to be so efficient that by the time a cargo ship is done off-loading its contents at the port of Mombasa, half of its cargo is already in Nairobi.
    Manduku remained optimistic that 2019 would be a record-breaking year in which KPA expected to exceed the total of 1,686 cargo trains that travelled between Mombasa and Nairobi in 2018.
    “This year we are performing very well. For the remaining six months, we will surpass last year’s performance,” he affirmed.
    Interestingly, the report revealed that a total of 2,918,973 metric tonnes of cargo was transported to the Kenyan capital in the entirety of 2018 which is just 899,971 metric tonnes shy of the record achieved after just 6 months in 2019.
    a_container_being_getting_loaded_on_a_train_at_the_port_of_mombasa_kenya.jpg

    A container being getting loaded on a train at the Port of Mombasa, Kenya
 
hivi tani saba ni sawa na vitiz saba kwa siku
 
hivi tani saba ni sawa na vitiz saba kwa siku

Wapi imeandikwa tani saba, huko Tanzania mna shule za English medium ambazo hufundisha kingereza, msiwe mnaona aibu kuhudhuria darasa moja na watoto, itawafaidi sana maana kingereza kimekua janga la taifa kwenu kuanzia Tandale hadi ikulu.
 
si tani 221kwa mwezi mzima, wastani ni tani saba kwa siku.ßasa sijui mabehewa yanatembea matupu.
 
si tani 221kwa mwezi mzima, wastani ni tani saba kwa siku.ßasa sijui mabehewa yanatembea matupu.

Ndio maana nikakuomba uhudhurie darasa la kingereza ili kuondokana na aibu za kutafsiri taarifa kiajabu ajabu, ni kwamba treni zimesafiri mara 221. Wacha niilete kwenye kiwango utakachoelewa, daladala ikitoka Posta hadi Ubungo, hapo tunasehabu imekamilisha mkondo mmoja, ikigeuza na kurudi Posta, tunahesabu mkondo wa pili, kwa siku inaweza kwenda mikondo takriban kumi.
Ndio hivyo kwa treni, kwa siku tunahesabu zimesafiri mara ngapi maana zinaungwa kila kichwa na mabehewa yake.

Baada ya hapo ndio tunaanza kupiga mahesabu mengine, binafsi nimehusika kwenye miradi ya usafiri wa reli, hivyo takwimu zake nazifahamu kiundani.
 
Aliyekuambia maendeleo huletwa na kiingereza nani.
Wapi imeandikwa tani saba, huko Tanzania mna shule za English medium ambazo hufundisha kingereza, msiwe mnaona aibu kuhudhuria darasa moja na watoto, itawafaidi sana maana kingereza kimekua janga la taifa kwenu kuanzia Tandale hadi ikulu.
 
14 both ways+4 passanger train makes it 18, not bad. ONWARDS..ONWARDS
 
Wapi imeandikwa tani saba, huko Tanzania mna shule za English medium ambazo hufundisha kingereza, msiwe mnaona aibu kuhudhuria darasa moja na watoto, itawafaidi sana maana kingereza kimekua janga la taifa kwenu kuanzia Tandale hadi ikulu.
Uingereza kuna vichaa wanaongea KIINGEREZA hatari...
 
Hongera! More than 100 containers per trip for normal train and more than 200 for double stack. Nina shuku kwamba wame breakeven.
 
Kwn njaa inaepukika...si ajabu awamu hii imekupiga chenga..vyuma vimekaza kinoma..lkn unajitia hamanazo kisa unaunga juhudi za ccm
Mbona nyie mnajua kiingereza lakini mna njaa?
 
Back
Top Bottom