Matumizi ya SGR yavunja rekodi mpya mwezi wa Juni, yajayo yanafurahisha

Zungumza unaloelewa Nani....Ati Ethiopia iko juu ya Kenya kiuchumi.....GDP Kenya iko USD 99B ilhali Ethiopia iko USD 92B na Tanzania iko USD 61B....Mwezi wa Agosti tunazindua SGR Phase 2A kutoka Nairobi hadi Narok, ambayo Rais Museveni, Kagame na Felix wa DRC watahudhuria...Mwezi huo huo tuzindue Kisumu Port ambayo Marais hao hao watahudhuria....halafu Agosti mwishoni tumalizie na Lamu Port Berth 1, the most modern Port in Africa....Saa hii Kenya tunaelekea USD 150B by year 2022!
 

Yale yale tu, hujasema chochote ambacho hakijaimbwa humu, kwanza kasome vizuri chanzo chako cha taarifa ufahamu hao Ethiopia tumewazidi kiuchumi pamoja na kwamba liinchi lao likubwa na wana watu wengi ambao ni mara mbili yetu, ni kama mlivyo huko Tanzania, muungano wa nchi mbili na nchi kubwa yenye rotuba kila sehemu lakini maskini wa kutupwa.
Kingine, reli kawaida kama muundo wowote, huwa hatuhesabu mapato tu, tunaangalia na manufaa yanayopatikana wakati jamii inaitumia, jifunze kitu kinaitwa socio-economic benefits.

Nyie reli yenu kasafu ka 200km bado mnahangaika hata sijui mko wapi maporini, leo mnataka mshindane na sisi ambao tulikamilisha zaidi ya 500km na tupo kwenye hatua za kukamilisha safu ya pili. Hayo ya treni kusafiri kwa kasi ya umeme sio kitu cha kupigia debe humu, cha msingi, kwenye mahesabu ya biashara huwa tunazingatia viashiria vingi tu.
 
Kenya tayari imeshaachwa na Ethiopia kiuchumi. Tanzania inakukua Kwa Kasi kubwa Sana at rate of 7.2 . Unajua hata lile bomba la mafuta ambalo Ilibidi lipite Kenya lilikuwa shifted kwenda Tanzania. Lakini pia hii Tanzania SGR will be the best and longest in Africa. First best and longest freight train in Africa ni hii inayotengenezwa Tanzania. Kenya SGR kwasababu ni diesel operated itakuwa high cost kwahiyo kwasababu ya Tanzania ni electricity itakuwa cheap. Ya Tanzania itasafirisha mizigo at cheapest cost by this way Kenya itapoteza wateja wengi. Unajua Tanzania ipo katika strategic location
 
Ile ya Tanzania ilipokamilika ni 300 km. Kutoka Morogoro mpaka Dar es salaam. Tatizo yenu kurudisha gharama itakuwa kazi kubwa kwasababu imejengwa Kwa gharama kubwa.
 
Ile ya Tanzania ilipokamilika ni 300 km. Kutoka Morogoro mpaka Dar es salaam. Tatizo yenu kurudisha gharama itakuwa kazi kubwa kwasababu imejengwa Kwa gharama kubwa.
Lini ya Tanzania ilikamilika.
Mkopo sio tatizo ilmradi unayo uwezo wa kuulipa, kumbuka pia kama nyie, unaweza ukatumia hela ya ndani uishie kukwamisha mambo mengine mengi, nchi yote watu msoto, vyuma vimekaza, mambo hayaendi.
 
Lini ya Tanzania ilikamilika.
Mkopo sio tatizo ilmradi unayo uwezo wa kuulipa, kumbuka pia kama nyie, unaweza ukatumia hela ya ndani uishie kukwamisha mambo mengine mengi, nchi yote watu msoto, vyuma vimekaza, mambo hayaendi.
Bro, unashusha level yako kwa kujadili na huyo jamaa. Hoja zake ni kama ametokea segerea leo. ati gdp ya tanzagiza inakua kwa rate ya 7.2%?? huyo wachana naye tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…