Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Saivi sio ajabu kukuta mlinzi yupo lindoni lakini kaweka bunduki yake pembeni anachat au kajisahau mazima kwenye tiktok au Instagram
Mfagizi kaegemea ufagio au mopa anachat WhatsApp
Nesi au daktari kaacha majukumu yake badala yake anasosholaizika kwanza huku anachekacheka wakati kuna msururu wa wagonjwa wanaongoja huduma kutoka kwake.
Dukani kwa mangi na mamantilie nao hawapo nyuma mwendo ni huohuo
wakuu hili ni janga jipya uko makazini
Unafikiri nini kifanyike kuondoa haya?
Watu wakatazwe kuja na simu makazini au?