Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,168
- 8,982
Mapendekezo yangu,tuzifungie tiktok,instagram, Facebook na tuanzishe mitandao yetu kama ilivyo Jf,kwanza tutatengeneza ajira,tutalinda maadili yetu,hatutavujisha siri zetu huko ulimwenguni,akitokea mtu kaibiwa huko mtandaoni,mtanzania mwenzetu kajipatia ajira ya siku hiyo,hapo vipii,hapo vipiii,Semeni hapo sawaaaa🏃🏃🏃👨🦽👨🦽👨🦽👩🦽👩🦽👩🦽Saivi sio ajabu kukuta mlinzi yupo lindoni lakini kaweka bunduki yake pembeni anachat au kajisahau mazima kwenye tiktok au Instagram
Mfagizi kaegemea ufagio au mopa anachat WhatsApp
Nesi au daktari kaacha majukumu yake badala yake anasosholaizika kwanza huku anachekacheka wakati kuna msururu wa wagonjwa wanaongoja huduma kutoka kwake.
Dukani kwa mangi na mamantilie nao hawapo nyuma mwendo ni huohuo
wakuu hili ni janga jipya uko makazini
Unafikiri nini kifanyike kuondoa haya?
Watu wakatazwe kuja na simu makazini au?
Siri gani unawezazuia isivujeMapendekezo yangu,tuzofungie tiktok,instagram, Facebook na tuanzishe mitandao yetu kMa ilivyo Jf,kwanza tutatengeneza ajira,tutalinda maadili yetu,hatutavujisha siri zetu huko ulimwenguni,akitokea mtu kaibiwa huko mtandaoni,mtanzania mwenzetu kajipatia ajira ya siku hiyo,hapo vipii,hapo vipiii,Yemenis hapo sawaaaa🏃🏃🏃👨🦽👨🦽👨🦽👩🦽👩🦽👩🦽
Sababu wazungu wanalipwa kwa saa so lazima wawe bize wanafungia simu kabatini hadi ukitoka kazini ndo unatumia simu.Tatizo kubwa sana hili kwa Nchi zetu za kiafrica, Sidhani kama wazungu wana huu ulimbukeni.
Ndomana huku unakuta Aunt Ezekiel ana followers milion 10 kumzidi hata Jeremy Doku mchezaji maarufu dunia nzima sababu kule wazungu wako busy na kazi sio kufuatilia upumbavu muda wote mtu yuko TikTok alafu anakuja kuilalamikia serikali maisha magumu.
Mambo ya ofisi unaruhusiwa kufanyia WhatsApp,au face buuku,unafikiri kwanini🫠Siri gani unawezazuia isivuje
Sahihi kabisa mkuu wanguBora tungezitumia kwa maendeleo na sio kwa burudani kama huku
Unakuta mtu masikini anaitumia kuangalia diamond na zuchu,simba na yanga wakati maarifa yote jinsi ya kutoboa yamejaa kiganjani.
Umasikini ni matokeo ya fikra butu
Nilipata bahati ya kutembelea nchi fulani. Ofis za kampuni moja maarufu sana. Wao nyakati za kazi wana block hizo social medias until end of shift. Imekuwa ni company policy lakin si kampuni zote zinafanya hivyoSaivi sio ajabu kukuta mlinzi yupo lindoni lakini kaweka bunduki yake pembeni anachat au kajisahau mazima kwenye tiktok au Instagram
Mfagizi kaegemea ufagio au mopa anachat WhatsApp
Nesi au daktari kaacha majukumu yake badala yake anasosholaizika kwanza huku anachekacheka wakati kuna msururu wa wagonjwa wanaongoja huduma kutoka kwake.
Dukani kwa mangi na mamantilie nao hawapo nyuma mwendo ni huohuo
wakuu hili ni janga jipya uko makazini
Unafikiri nini kifanyike kuondoa haya?
Watu wakatazwe kuja na simu makazini au?
sasa itaachaje kuathiriKama haiathiri utendaji kazi Haina shida
Ghana, Kenya, Nigeria sababu ya lugha wanatumia sana media kupata info wanaenda nje kubeba box wanarudi kwao wanawekeza.
Bongo unakuta kijana anapoteza mda miaka Saba anasota kuokota ajira mbuzi nchini wakati kwenye simu yake kumejaa ajent na makampuni kibao ya kumpatia ajira nje ya nchi.
Ukiingia mfano indeed,live and study abroad,work in Dubai nk, dating sites nk ukikomaa nazo miezi mitatu unapata connection.
Bongo hatuna akili ya kuzalisha ajira kwa fursa tele hzi.
Acha sisi tubakie kuzitazamia ngono wao Wanamake
We need to stop making stupid people famous.Tena mastaa wetu ndio majinga kabisa yaani star anaona asipopost siku moja basi watu watamsahau tu yaani ukiangalia post za kina manara ali kamwe Ahmed ally yaani ujinga mtupu watu wanaopost vitu vya maana hawana followers ila wajinga ndio followers kibao ukiangalia post za kina wizkidayo davido barbra engineer hersi utaona tofauti watanzania sisi ni wajinga sana.