kilimochetu_Tz
New Member
- Jul 28, 2022
- 3
- 3
Matumizi ya teknolojia katika kilimo, technologia ni muhimu katika kuchangia maendeleo ya kilimo katika taifa la Tanzania. Ukosefu wa matumizi ya technolojia muhimu kwawakulima kuna sababisha kupungua kwa uzalishaji wa chakula na kuleta tishio la njaa katika Tanzania na hata katika bara la afrika kwa ujumla.
Technolojia zinazohitajika ni pamoja na kunzia uzalishaji wa mbegu bora zenye kustahimili ukame na wadudu waharibifu, mbegu zenye kutumia muda mfupi toka kupandwa mpaka kufikia uvunaji, na mbegu zenye mavuno mengi kwa shina.
Katika kufikia malengo ya uhakika wa chakula kuanzia ngazi ya kaya mpaka kufikia ngazi ya kitaifa basi matumizi ya mbegu bora zilizozalishwa kwa technolojia ya kisasa na kuleta tija hazina budi kupatikana na kutumiwa na wakulima wetu katika maeneo mbalimbali ya uzalishaji mashambani.

Upvote
3