Matumizi ya Video Queens: Wasanii wa Bongo wanaboa

yule dem aliekuja kwa mondi mwisho wa video ya mbagala ni mweusi ama mwarabu.?
Main character ni yupi?Ni video queen yupi kabeba idea nzima ya nyimbo?Ni yupi kaonekana sehemu kubwa?
Halafu kwanza,huu ubaguzi unatoka wapi wakati wote ni watanzania?
 
Main character ni yupi?Ni video queen yupi kabeba idea nzima ya nyimbo?Ni yupi kaonekana sehemu kubwa?
Halafu kwanza,huu ubaguzi unatoka wapi wakati wote ni watanzania?
kaanza vizuri kamaliza vibaya
 
Ni hivi, wenzio huwa wanashuti video zao S. Africa. Kule mamodel weusi wana nyodo fulani na wanajikweza sana. Kuwapata ni gharama kuliko wazungu na mchanganyiko ndio maana huwa wanawatumia hao zaidi wakienda kule. Kwa hapa bongo unamtumia mzungu au chotara wa nini? Hivyo sidhani kama ni kweli hilo unalosema. Hayo maswali ya kutumia weupe kama mamodel waneshaulizwa sana kwenye media. Ila si mbaya. Hongera
 
Hilo la mamodel weusi wanaringa SA nakataa.
 
Wasanii wengi Washamba tu mbona ngozi nyeusi mzuka tu sijui kwanina watu wanakataa asili zao wanajichubua sana ngozi zinakua kama mamba uku uswazi hadi vi Bibi vinajipura ngozi usoni na miguuni rangi tofauti ukiwakuta juani kama kitimoto
 
Tatizo siyo kuwaweka wanawake weupe hata kidogo,
Bali, tatizo ni kuwaweka wanawake weupe huku kichwani wakiamini wanawake weupe ni bora kuliko weusi.
Hili la pili ni utumwa wa kifikra ambao unatutesa sana wanaume weusi.
 
Tatizo siyo kuwaweka wanawake weupe hata kidogo,
Bali, tatizo ni kuwaweka wanawake weupe huku kichwani wakiamini wanawake weupe ni bora kuliko weusi.
Hili la pili ni utumwa wa kifikra ambao unatutesa sana wanaume weusi.
upo sahihi bro na ndio maana wamawake wetu weusi wanajichubua wakidhani kwamba weupe ndio uzuri/urembo
 

Nakusahihisha kidogo Mkuu,
Directors ndiyo wanapaswa kulaumiwa,
Lakini pia kuna Maeneo ambayo hawa Jamaa wanafanya Shooting Kumpata Model wa Kiafrika Pure ni shughuli,
Kwa hiyo naomba tuweke akiba ya Maneno, Tuwapongeze kwa hatua waliyofikia, halafu Binafsi nawashauri wanamziki waangalie yafuatayo:
1.Kuwa na Menejimenti Nzuri-Najua ni gharama, lakini nothing come easy
2.Kuwa na Madirector wa uhakika,
3.Kuwa na Maproducer Tofautitofauti ili tupate ladha tofauti
4.Kuwa na Fashionista, Designer Tofautitofauti
5.Kufanya Video Maeneo ya hapa Tz kwa Nyakati tofautitofauti
6.Kujaribu Kupata Vifaa Bora Zaidi ili Video Ziwe katika Ubora wa hali ya Juu, at least sasa tumetoka quality ya 360 mpaka 480, Basi tufike 720.
Hivi vyote ni gharama, lakini kidogokidogo Mkiweza kuwekeza basi Wasanii watafika.
7.AOB: Kubali kushauriwa, kuandikiwa Nyimbo,Kushirikishwa, Being flexible is what made me Successful Man, Don't quote me wrong, I am not rich! I am successful man.
 
Mbona kawaida sana hao watoto rangi ya sheshe wapo kila kona
Iringa
Tabora
Tanga
Dom
So na wao ni wa tz so mkiona hivyo ujue ni kawaida sana.
Kilosa mashombe kama hao wapo kibao
Ni wa tz jamani ni rangi tu.
Ukifika Manyoni na Ikungi ndio balaa!
 
Kabla hatujawalaumu wasanii, tuseme ukweli tu. Hata mtaani wanaume wengi huona ujiko kuwa na mademu wa kichotara, kizungu, kiarabu zaidi kuliko mademu wa kibongo.
 
Asante sana. Umeongea kweli,tukiwekeza katika productions zetu na kuwa na madirectors wengi wazuri hapa hapa kutawazui wasanii wetu kwenda nje ya tz kushoot video na itasaidia kupatikana kwa ladha halisi ya video zetu ikiwa pamoja na kuwatumia mamodels wetu wa kiafrika.
 
Kabla hatujawalaumu wasanii, tuseme ukweli tu. Hata mtaani wanaume wengi huona ujiko kuwa na mademu wa kichotara, kizungu, kiarabu zaidi kuliko mademu wa kibongo.
Kweli ila tunapoelekea wataona kawaida kwasababu dunia imebadilika, zamani hao waarabu walikuwa kama lulu kumpata lazma uwe na "mali" ama uwe mwarabu mwenzao ila skuizi dijitali imesaidia tunajichanganya nao.
 

Sikumbuki Mara ya mwisho ni lini mimekaa Mbele ya TV na kuangalia BONGO FLEVA.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…