Nilikuwa kwenye website ya Elimu( ONLINE BEST ) natafuta data. Kuna data walizoweka humo, lakini ili uzipate, unatakiwa kufungua file lenye extension ya 'cub'. Nimejaribu kutafuta application ambayo itaweza kufungua mafile hayo lakini sikupata. kuna yeyote anayeweza kunisaidia?
Kwa ujumla site hiyo haina taarifa zozote na ukifungua link zote za kushoto unapata tu jibu 'not found'. Sasa nini maana ya kuwa na website ambayo haitoi taarifa yoyote? Halafu kitu cha ajabu utakuta kuna fedha kem kem zinaombwa kila mwaka ili kuboresha hiyo website na kuna mtu analipwa mshahara wa kuisimamia!