Matumizi ya website ya Wizara ya Elimu

Matumizi ya website ya Wizara ya Elimu

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Nilikuwa kwenye website ya Elimu( ONLINE BEST ) natafuta data. Kuna data walizoweka humo, lakini ili uzipate, unatakiwa kufungua file lenye extension ya 'cub'. Nimejaribu kutafuta application ambayo itaweza kufungua mafile hayo lakini sikupata. kuna yeyote anayeweza kunisaidia?

Kwa ujumla site hiyo haina taarifa zozote na ukifungua link zote za kushoto unapata tu jibu 'not found'. Sasa nini maana ya kuwa na website ambayo haitoi taarifa yoyote? Halafu kitu cha ajabu utakuta kuna fedha kem kem zinaombwa kila mwaka ili kuboresha hiyo website na kuna mtu analipwa mshahara wa kuisimamia!
 
Pole borother, unatafuta data zipi ili tuzimwage hapa?
 
Natafuta idadi ya vyuo vikuu vilivyopo Tanzania pamoja na gharama zake. Vile vile gharama za shule ya msingi kwa kila mwanafunzi kwa shule za serikali.
 
Nilikuwa kwenye website ya Elimu( ONLINE BEST ) natafuta data. Kuna data walizoweka humo, lakini ili uzipate, unatakiwa kufungua file lenye extension ya 'cub'. Nimejaribu kutafuta application ambayo itaweza kufungua mafile hayo lakini sikupata. kuna yeyote anayeweza kunisaidia?

Kwa ujumla site hiyo haina taarifa zozote na ukifungua link zote za kushoto unapata tu jibu 'not found'. Sasa nini maana ya kuwa na website ambayo haitoi taarifa yoyote? Halafu kitu cha ajabu utakuta kuna fedha kem kem zinaombwa kila mwaka ili kuboresha hiyo website na kuna mtu analipwa mshahara wa kuisimamia!

kweli mkuu hapa ni uwizi tu wa pesa za walipa kodi
 
Back
Top Bottom