Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yake
Sipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,😏😏😏😏fyuu.
Kwanini hujasema janamke zima lenye maziwa kama ndala ihali hata mtoto mmoja halina?
Inasemaje hiyo pm?Kuna PM nilikutumia, naona umeichunia.
Jamani kulwa...!!!Hakuna hata ubora kuweka x badala ya s inakera akitumia jinsia yoyote
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Inasemaje hiyo pm?
Inasemaje hiyo pm?
😂 😂 😂 😂 😂Kwanini hujasema janamke zima lenye maziwa kama ndala ihali hata mtoto mmoja halina?
kitu kidogo sana bhana wacha ****.IND , mind your bussinesSipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]fyuu.
Na wewe ungeanzisha uzi wako unaosema hayo
Wee jamaa bana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni abuse...kwani ndevu zetu zinauhusiano gani na mwandiko.Bora atumie mwanamke sio jamaa lenye midevu yake
Mie huwa nafanys hivyo kuweka swagga eti mkuu...kumbe huwa nakera eeehutasikia
me:babe mbona hutokei xaxa
ke:nakuja sasa hivi
me:tanteee
ni kero kabisa
Umama?Kutumia x badala ya s ni swaga ya wanafunzi especially hawa ambao ndo wanazijua simu..
Mtu mzima kufanya ivo kwa jinsia yoyote ni u mama