Matumizi ya x sehemu ya s

Matumizi ya x sehemu ya s

Mambo ya kixenge hayo 🤣🤣🤣 huwa mtu anaendaka x huwa namuhisi sio riziki, amelawitiwa kifikra!
 
Kutumia x badala ya s ni swaga ya wanafunzi especially hawa ambao ndo wanazijua simu..
Mtu mzima kufanya ivo kwa jinsia yoyote ni u mama
 
...wacha weeh toto limeandika kwa mashauzi halafu likamalizia na vi emoji Fulani hivi vya kichokozi vya kulegeza macho

baby girl bless your father.. yani Agata hata ukinificha kweny dirisha au chini ya uvungu wa piemu yako mi sawa tu
 
Back
Top Bottom