agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
- Thread starter
-
- #41
π³ π³ π³...wacha weeh toto limeandika kwa mashauzi halafu likamalizia na vi emoji Fulani hivi vya kichokozi vya kulegeza macho
baby girl bless your father.. yani Agata hata ukinificha kweny dirisha au chini ya uvungu wa piemu yako mi sawa tu
Wanawake wa jf tunatukanwa kila siku humu ni vile tuna roho ngumu ndomana hatuachi kuingia.Hii ni abuse...kwani ndevu zetu zinauhusiano gani na mwandiko.
Itabidi wanaume tuanzishe chama chetu tuna -abuse -wa saana.
usirudie tena mkuu yaani huwa zinakera mnoooMie huwa nafanys hivyo kuweka swagga eti mkuu...kumbe huwa nakera eeeh
Duuh....haya bhanaWanawake wa jf tunatukanwa kila siku humu ni vile tuna roho ngumu ndomana hatuachi kuingia.
Poa mkuu bila xhaka xaxa wachuchu wataanza kunikubali.usirudie tena mkuu yaani huwa zinakera mnooo
Xaxa je...![emoji23][emoji23][emoji23]Poa mkuu bila xhaka xaxa wachuchu wataanza kunikubali.
Kuhuxu nini tena mkuu...ixije ikawa unanidai na xijui.Xaxa je...![emoji23][emoji23][emoji23]
X wanatumia watoto wa Under 20[emoji23][emoji23][emoji23] sawa mkuuKuhuxu nini tena mkuu...ixije ikawa unanidai na xijui.
Ila mimi sijawahi kukutukana, si ndio agathaWanawake wa jf tunatukanwa kila siku humu ni vile tuna roho ngumu ndomana hatuachi kuingia.
xaxa mkuu xaxa mbona kama xomo hujalielewa hizo xa zinatafuta nini hapo xaxaPoa mkuu bila xhaka xaxa wachuchu wataanza kunikubali.
Sipendiiiii ! Unakuta baba zima limekazana xaxa badala ya sasa,[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]fyuu.
Hata wewe ni walewale"Kwendraa",ndo nini?Kwendraaaa
Unakuta mwanaume kabisa kashiba kande halafu anaandika jomoni badala ya jamani.
Huwa najisikia kutapika kongosho.
Msikilize mwenzio mkuuπ³ π³ π³