agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
- Thread starter
- #41
😳 😳 😳...wacha weeh toto limeandika kwa mashauzi halafu likamalizia na vi emoji Fulani hivi vya kichokozi vya kulegeza macho
baby girl bless your father.. yani Agata hata ukinificha kweny dirisha au chini ya uvungu wa piemu yako mi sawa tu