mimi asubuhi natumia elfu moja chapati mbili na maharage..habari wadau..
mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..
nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
Unakaa kwenu ama unajitegemea?mimi asubuhi natumia elfu moja chapati mbili na maharage..
na jioni majira ya saa kumi nakula wali na maharage. siku imeisha.
natumia buku mbili au buku mbili jero kwa siku... hivyo kwa wiki ni 14,000 mpaka 20,000. hapo nimejumlisha na vifurushi vya simu. ni hayo tu mkuu
Sio matumizi makubwa mkuu kwani matumizi hutegemeana eneo na eneo namaanisha hutofautiana.....so ukienda kuishi eneo lingine haitakuwa hivyo huenda ikaongezeka au kupungua kiasi....habari wadau..
mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..
nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
Dah.. Chamsingi matumizi yako yasizidi mapato...mimi natumia buku 2 daily ..na mapato yangu ni buku3...nasevu buku daily.. sasa....habari wadau..
mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..
nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
Mafuta kwenda kazini na kurudi home lita 5, (Tsh 10,000), lunch Tsh 5,000, Airtime/ luku, parking/ kuosha gari na gharama zingine i.e indirect expenses Tsh 10,000 so minimum ni Tsh 25,000 per day.