Matumizi yako kwa wiki ni kiasi gani?? hela hazikai kabisa

Matumizi yako kwa wiki ni kiasi gani?? hela hazikai kabisa

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
habari wadau..

mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..

nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
 
ni matumizi ya kawaida kabisa, ila muhimu ujiandae kisaikolojia maana tunakoelekea utakuwa ukitumia 10000 kwa wiki
 
orodhesha matumizi ya pesa yote iyo hapa kwanza
 
habari wadau..

mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..

nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
mimi asubuhi natumia elfu moja chapati mbili na maharage..

na jioni majira ya saa kumi nakula wali na maharage. siku imeisha.

natumia buku mbili au buku mbili jero kwa siku... hivyo kwa wiki ni 14,000 mpaka 20,000. hapo nimejumlisha na vifurushi vya simu. ni hayo tu mkuu
 
Mafuta kwenda kazini na kurudi home lita 5, (Tsh 10,000), lunch Tsh 5,000, Airtime/ luku, parking/ kuosha gari na gharama zingine i.e indirect expenses Tsh 10,000 so minimum ni Tsh 25,000 per day.
 
mimi asubuhi natumia elfu moja chapati mbili na maharage..

na jioni majira ya saa kumi nakula wali na maharage. siku imeisha.

natumia buku mbili au buku mbili jero kwa siku... hivyo kwa wiki ni 14,000 mpaka 20,000. hapo nimejumlisha na vifurushi vya simu. ni hayo tu mkuu
Unakaa kwenu ama unajitegemea?
 
habari wadau..

mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..

nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
Sio matumizi makubwa mkuu kwani matumizi hutegemeana eneo na eneo namaanisha hutofautiana.....so ukienda kuishi eneo lingine haitakuwa hivyo huenda ikaongezeka au kupungua kiasi....
 
habari wadau..

mimi naishi mwenyewe kwa sasa hivi.. nikipiga hesabu zangu kwa wiki natumia laki moja.. kila kitu..

nawaza kama nina matumizi ya juu sana au ya kawaida zama hizi za vyuma vimekaza
Dah.. Chamsingi matumizi yako yasizidi mapato...mimi natumia buku 2 daily ..na mapato yangu ni buku3...nasevu buku daily.. sasa....
buku1 x siku 365.25 x miaka 80 = 29.220,000 (benki)
😀😀😀😀😀😀😀
 
Pole Mzee,

Mimi ndo Duuuuuh! [emoji134][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24].....Nikiwa na Hela nazitumia, Sijinyimi, Naweza kula kitimoto na Bia kila Siku. Na sio mchoyo mtu akinililia Shida,
kivumbi niishiwe sasa[emoji134][emoji24] najioneaga huruma sana, Nahisi nimezaliwa na Nyota ya Utajiri, sema ndo vile bado haujanifika.

Hapa nilipo, nakunywa uji mkavu[emoji134][emoji24][emoji22]

Wakati nimetoka kupokea Milion moja Mwezi huu.[emoji134][emoji22][emoji24]

How Fool am i.
 
Minimum 30k per day...Hapo sijaweka beer na kitimoto.
 
Back
Top Bottom