Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

Matumizi yaliyozidi ya Antibiotics, husababisha kansa!

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Kwa wale ambao wakiumwa Kichwa tu wanameza dawa, akijisikia kuchoka tu kameza dawa hii ni hatari.

Tafiti zinaonesha Kutumia Antibiotics nyingi hupelekea kuua Bakteria walinzi wa mwili na kusababisha Fangasi sehemu za Mwili, kama Ulimi, Koo, utumbo, Ini, lakini pia Huchosha Ini na kuweza kusababisha hata Ini kufeli kwa wakati fulani, na kuweza Kusababisha kansa aina mbalimbali.

Afya kuitunza ni bure ila ikishatetereka utairejesha kwa Gharama Kubwa sana.

Zingatia Sio ukijisikia Vibaya basi unahitaji dawa ya kukuboost. Vimafua kidogo vya aleji, ushabwia antibiotics..

Tunza Afya yako.
 
Kumbe pain killers ni group moja la antibiotics
Kina panadol,diclofenac etc ni antibiotics 😃😃
Inshort ni matumizi ya dawa zote, yakizidi huathiri utensaji wa ini
 
Sipendi kumeza dawa mno.yaani kutumia dawa huwa ni hatua ya mwisho mno.
 
Afya kuitunza ni bure ila ikishatetereka utairejesha kwa Gharama Kubwa sana.
 
Back
Top Bottom