Matumizi yangu August

Kwa wanaouliza app inaitwa 'Spending'

Na unaweza kuweka mapato pia na mwisho ndani ya mwez ukajua kama umeingiza au umekula mtaji
Kuna msemo

"Biashara bila Budget utawalalamikia wachawi na chuma ulete"

 
Shida ni cha-kuwekea / kuweka au shida ni ujazaji?

Sababu kama kuweka tu hata diary inaweza kufanya hivyo au kama ukiwa unatumia sana mfumo wa cashless utajua tu Na ukizingatia maisha ya wengi sasa ni kuziba mashimo hapa ameshakopa mpaka December kwahio anachopata leo ni cha kuwalipa watu aliowapa ahadi September....

Kwahio huyu hata ukimpa Kishikwambi sana sana ni kumuongezea Stress tu....
 
Kwa wanaouliza app inaitwa 'Spending'

Na unaweza kuweka mapato pia na mwisho ndani ya mwez ukajua kama umeingiza au umekula mtaji
Kuna msemo

"Biashara bila Budget utawalalamikia wachawi na chuma ulete"

Kumbe ni matumizi ya biashara mkuu! Tukajua matumizi binafsi... Anyways matumizi ya vitu kama michango na kusaidia ndugu ingependeza ungekuwa unatoa kwenye faida ikishakuwa mfukoni, ukitoa kwenye matumizi ya biashara inaweza isikupe picha halisi ya hali ya biashara yako..
 
Du! yani ukipigwa chini Leo, ndani ya miezi 2 utakuwa maskini kuliko muuza vitumbua pale Mwananyamala.
Najitaidi kupunguza, ila ndo hvyo tena kuna vitu vingine haviepukiki kama binadam, isingekuwa naandika matumizi ningekuwa najiona bahiri sana
 
Naona wasichana wamelamba 13% ya matumizi yako huku ndugu wakiambulia 0.009[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna vitu vingine haviepukiki kaka, ila kwangu ata ela ya Guest naiweka kwenye girls
 
Sijaweka tu sehem ya mapato, idea ni kuona matumizi, nmeanza kuona na mapato nikiweka itakuwaje
 
Ni kila kitu, biashara au sio biashara matumizi ni matumizi
 
Nazitumia sana hafu baadae unajua wapi unafeli unajicontrol. Safi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…