Matumizi yangu August

Matumizi yangu August

Girls, the girls 🤣🤣🤣 nimependa hapo tu. Savings ni wito jamani
 
mimi naogopa hata kupiga mahesabu.
nilikuwa na usd700+two milion.
ila expenses nilizofanya imeisha na kubaki 100,000 tuu.
kumbuka sijashika pesa km hiyo muda mrefu sana.nimeispend hadi leo imebaki kichele tuu.
hela tammm sana
 
Girls, the girls [emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimependa hapo tu. Savings ni wito jamani
Girls ni ambao sina mpango nao au ambao natongoza, the girls ni wale ambao naweza sema niko nao serious na kuona kauserious flan hv
Najua The haiendan na plural, ila ndo hvyo ntafanyaje
 
mimi naogopa hata kupiga mahesabu.
nilikuwa na usd700+two milion.
ila expenses nilizofanya imeisha na kubaki 100,000 tuu.
kumbuka sijashika pesa km hiyo muda mrefu sana.nimeispend hadi leo imebaki kichele tuu.
hela tammm sana
Kibaya ni hukumbuki kilichokumalizia
 
Girls ni ambao sina mpango nao au ambao natongoza, the girls ni wale ambao naweza sema niko nao serious na kuona kauserious flan hv
Najua The haiendan na plural, ila ndo hvyo ntafanyaje
Haijalishi iwe plural or singular..ili mradi unatambua majukumu yako.
 
Back
Top Bottom