KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
=
Kuna "Girls" alafu kuna "The girl" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mjomba wewe ni balaa
Alafu "the girl" katumia pesa nyingi kuliko girls wote
Exactly, ila ukijitaid kuandika kabla hujatoa hella baadae unakalili na inakuwa tabia, ila kusahau lazimaHii ni exact au ni wastani? Mimi bado natafuta njia nzuri ya kumonitor matumizi yangu sijapata. Maana kuna wakati niliweka app kama hii ila sometimes natumia nasahau
Ila nikiangalia cha kupunguza nashindwa nipunguze kipiNaona hizo ni Tsh na si $.
Una matumizi mabaya sana.
Nmejiunga ya elf30 mwez huu, napata dk nyingnyingi na gb 25 kwa mwez=
Hapo kwenye 'vocha' waweza kupunguza matumizi ya fedha kwa asilimia 50 hadi 60 iwapo utajiunga na vifurushi vya 'post paid'
-Mfano kwa TZS. 15,000 unapewa dakika 1,800 za kutumia mwezi mzima.
-mfano wa pili | Kwa TZS 30,000 unapewa dakika 4,000 za kutumia mwezi mzima
Hiyo ni Tigo Post paid, Iwapo hutumii tigo angalia mitandao mingine wana hiyo huduma.
View attachment 2393811
Nilochukua ni dk2500 gb 25 na sms chache=
Hapo kwenye 'vocha' waweza kupunguza matumizi ya fedha kwa asilimia 50 hadi 60 iwapo utajiunga na vifurushi vya 'post paid'
-Mfano kwa TZS. 15,000 unapewa dakika 1,800 za kutumia mwezi mzima.
-mfano wa pili | Kwa TZS 30,000 unapewa dakika 4,000 za kutumia mwezi mzima
Hiyo ni Tigo Post paid, Iwapo hutumii tigo angalia mitandao mingine wana hiyo huduma.
View attachment 2393811
[emoji3][emoji3][emoji3]Hapo kuna zile ambazo kasahau kuandika ambazo ni nyingi zaidi...Unamatumizi mabaya ya pesa saana.....