fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Bado naendelea na usafi wa nyumbani kwangu kama kawaida,muda huu ndio nimemaliza kusafisha bathroom yangu na sasa natumia astra badala ya dettol.Leo naongelea dawa ya meno,je wewe mwenzangu unatumia dawa ipi ya meno? Je kwa mfano umenunua dawa ya brand fulani,ikiisha unaenda kununua brand hiyohiyo au wewe hununua dawa yoyote ile?Mimi hutumia brand moja tu na inapoisha nanunua hiyo hiyo.