GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Ni tunda zuri sana kwa upande wa bei. Linauzwa ghali.
Japo yanapatikana kwenye masupermarket makubwa, hayalimwi Tanzania. Yanaagizwa toka nchi za nje.
Wakenya wameshaanza kulima kiwi. Miongoni mwa maeneo yanakolimwa nchini Kenya ni pamoja na Eldoret, Kiambu, Nyandarua, Meru, Nyeri, Nairobi, Kericho, Nandi, Bomet, Kisii, Kakamega, Kajiado, Nakuru, n.k.
Nimejaribu kuangalia sifa za hayo maeneo tajwa, hayatofautiani sana na baadhi ya maeneo ya Tanzania.
Ikiwa yanastawi nchini Kenya, yanaweza kustawi pia na Tanzania?
Nawapongeza baadhi ya Watanzania walioamua kujaribu kulilima hilo tunda. Wakifanikiwa wasiache kuleta mrejesho🙏