Matunda haya mnayafahamu?

Matunda haya mnayafahamu?

Kule kwetu Njombe hasa Lupembe yapo mengi na nimeyala sana. Sisi kule tunayaita Matunda damu/mayofani...nazani coz yana redish fluid na ndo kinacholiwa.
 
Back
Top Bottom