Matunda kuoshwa na sabuni DAR.......

Matunda kuoshwa na sabuni DAR.......

Hii inanikumbusha kuna miaka nilipita na Dakar, Senegal nikakuta wa Senegali wanaosha nyama kwa sabuni (wanaifua) kabla ya kuipika. Kuuliza nikaambiwa hao ni Waislaam na dini yao inawaambia wasile damu, kwa hiyo wanahakikisha nyama haibaki na damu kabla ya kuipika.

Umeona mambo hayo? sisi huku tunaiosha kwa maji tu na kuipika (nyumbani) wauza mishkaki mitaani huko mwiko kuosha nyama, wanakuambia unaitoa ladha, hapo sasa.

Mmmm.MX
 
kuosha matunda na sabuni mimi siafiki kitu hicho. kunauwezekano sabuni ikafyonzwa na matunda na hivyo malaji naye akabugia kiasi cha sabuni kila anapokula tunda lililooshwa na sabuni
 
Back
Top Bottom