Matunda kwa afya ya Macho

Extrovert24

Senior Member
Joined
Jun 23, 2022
Posts
144
Reaction score
211
Aloo wakubwa Matumaini yangu mko vizuri na ambao Afya zao haziko sawa Basi na Mwenyezimungu awasaidie wakae vizuri,

Leo nataka tushee kitu kuhusiana na Afya ya macho. Wengi wamekuwa wakisumbuliwa na macho Kwa eidha kuwa na uoni hafifu na chàngamoto zingine pia za macho.

Na hapana shaka yakuwa sote tunafahamu Matunda ni tiba kubwa Kwa Maradhi mengi.

Hivyo ulaji wa Matunda mara Kwa mara husaidia kuimarisha Afya zetu.

Matunda Sio Anasa


 
Unasoma Darasa la ngapi?
 
Naamini lengo lilikuwa zuri ila hujaonyesha ubobevu wa mada husika mkuu
 
Umejikaza mwenyewe na unaona umetumia Brain Kubwa kutuelekeza??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…