Kuna nini hapo cha ajabu mbona kama nusu nzima ni wanyarwanda tu. Huyo jamaa hana lolote ni dikteta tu tena leo nimesikia kawafunga jela wapinzani fulani.
Wakati ukuta, ipo siku atakuwa kama wengine tu na Rwanda ikafanya vizuri bila yeye. Amewanyanyasa sana watu wasiomsifia. He is not indispensable and in my view, he deserves the gallows.