chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Dec 31, 2023 #1 John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
John Heche ametutakia watanzania heri ya mwaka mpya akiwa katika mbuga za wanyama akifanya utalii wa ndani. Hakika hii ni faraja kubwa sana kwamba sasa utalii wa ndani umevutia watu wengi, hasa baada ya Mh. Rais Samia kuhamasisha kupitia Royal Tour.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Dec 31, 2023 #2 Safi Sana, huu ndio uzalendo!, watu wanazidi kupata utambuzi na kuamka akili, si kila jambo nila kususia,au kuona ni baya.
Safi Sana, huu ndio uzalendo!, watu wanazidi kupata utambuzi na kuamka akili, si kila jambo nila kususia,au kuona ni baya.