Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Habari za asubuhi wana jamvi.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, ni nini sababu ya matunda matikiti kuoza yakiwa bado madogo.
Kwa mara ya kwanza nililima matikiti mwezi wa tisa, kwa bahati mbaya sikuweza kufanikiwa licha ya kufuata maelekezo ya wataalamu mbalimbali. Nilipiga madawa na kuweka mblea inavyotakiwa lakini tikiti zote zilioza shamba zima zikiwa na size ya kidole gumba.
Baada ya kuona hivyo nikaamua kuzing'oa zote niaaknza upya kwani sikukata tamaa baada ya kupata hasara kama ya M5.
Kwa titkiti nilizopanda mara ya pililicha, zilianza vizuri sana na kulikuwa na tofauti na za kwanza . Zilianza kuweka matunda wiki iliyo pita lakini sasa ule ugonjwa wa matikiti kuoza yakiwa madogo umeanza
naombeni ushauri kwa wale wenye uzoefu tafadhali.....