Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu
1.Ndizi
2.
3.
4.
5.
1.Ndizi
2.
3.
4.
5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu
1.Ndizi
2.
3.
4.
5.
Wamaanisha yale yasiyokuwa na mbegu kwa uasilia wake au..?, maana biotechnolojia imefanikisha kuondoa mbegu hata yale yaliyokuwa na mbegu kwa uasili wake!!
Hivi carrot nayo ni tunda?i think carrot doesn't have seed
Na hakuna tunda ambalo kwa uasilia wake halina mbegu. Kitu chochote chenye kutoa ua kina mbegu.
Hivi carrot nayo ni tunda?
i think carrot doesn't have seed
muwa.....
kwani muwa ni nini.....?
Muwa.....
nanasi
kwani muwa ni nini.....?
Naombeni anayejua matunda aina tano yasiyo na mbegu
1.Ndizi
2.
3.
4.
5.