Usijaribu kubdili nyekundu kuwa njano mkuu, watu wana hasira haijapoaNimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Wewe huelewi, hayo matundu ukiyaangalia yalipigwa kwa mpangilio maalum,Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.
Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.
Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Wewe bure kabisa ,haya maneno ungeongelea mbele ya haraiki ya watu ungegeuzwa jina!
Mwambie walikuwa wanamtania tu Lissu na kumtisha apunguze mdomo.tramadol kwahyo hawa wauaj wamekukera kutumia risas nyingi eh? ulitak washot 1 tu si ndio eh !
Hahaha mie Najichekea tu
taharuki kila kona
kila mtu anaandika lake!!
Ngoja tuone
..smg siyo rahisi kupiga risasi zikaelekea eneo moja.
..pia uharaka wa waliofanya shambulizi hilo.
..vilevile mtumia bunduki alivyokuwa amekaa. Inasemekana alikuwa ndani ya gari.
.
au ndio maana tinted ziliruhusiwa eee!!! maana nakumbuka lilitoka tamko la kuzizuia lika kanushwa flan iv!!maana tuna ambiwa gari ilikuwa tinted najiuliza tu ....smg siyo rahisi kupiga risasi zikaelekea eneo moja.
..pia uharaka wa waliofanya shambulizi hilo.
..vilevile mtumia bunduki alivyokuwa amekaa. Inasemekana alikuwa ndani ya gari.
.