Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Mungu naye mkono wake ni mrefu pia ana moyo wa nyama so hakupenda walilopenda litokee
Get well hon lissu

Sent using Jamii Forums mobile app
we mkuu moyo wa nyama MUNGU HEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Risasi zaidi ya 20 kushindwa kumuua mtu hata angekuwa kwenye kifaru cha jeshi, huo unaitwa MUUJIZA, na hiyo inaweza kuwa ndio turning point ya wazee wa kiki.

Kwangu utakuwa ni muujiza wa pili wa kitaifa baada ya ile ajali ya Mwakyembe...

Ni kwa kuwa tumeacha mila na desturi zetu.Hiyo kitu si muujiza kihivyo. Mungu wetu ni mwema sana.
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Umeongea point kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ambae hajui hujifanya kujua.
Na anayejua ujifanya hajui.

"Kupoteza ushahidi"

Tutazungumza mengi acha Mh Tundu apone kwanza mkuu
 
Lisu ni Ngangari next time nadhani wataazima Nuclear bomb kutoka North Korea kiduku lazima apate wateja... Njema ya Tz ni Unkillerable
 
Mlenga shabaha anapotaka siku zote hana haraka, hutumia muda mrefu kutafuta post anayoitaka, ila wale wa tundu lissu walikosea kwa kuwa haikuwa nia yao ilikuwa ni kwa ajili ya wangine wapate muda wa kufanya yao
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.

Halafu kwanini leo siku ambayo ripoti ya tanzanite na almasi inatoka? Wanatakakumchafua Rais? Najiuliza tu.
Kweli vyombo vya ulinzi na usalama wakomae nao mpaka wapatikane.
 
Jamaa walikuwa wanapiga rondomly yaani ikimpata na afie mbali

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
sasa ulitaka risasi zoote zilizofyatuliwa zipite kwenye tundu moja tu ndo tujue kuwa mlengaji ni mtaalamu wa kutumia silaha?
pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom