Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Mabosi wa kibongo wanapenda kukaa kiti cha mbele aonekane boss, angekuwa amekaa kiti cha katikati angetoka salama salmin,

ila haya mashambulizi mbona yanafanana na ya wakenya, waache kushadadia mambo ya majirani sio watu wazuri
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.

Basi mnyoshee vidole watu wasio na mafunzo!!! Najua nimeeleweka
 
Wewe huelewi, hayo matundu ukiyaangalia yalipigwa kwa mpangilio maalum,

Yaani mpigaji alikua akipiga pale ambako anadhani ndio mwili uko,
Kuanzia kichwani, shingoni, begani, kifuani, tumboni, kiunoni, pajani, miguuni, na kwenye tairi ili gari ishindwe kwenda,

Kupona kwa Lissu ni Mungu tu yuko pamoja nae
Mkuu umemjibu vizuri huyu kiazi..... TL angeshuka kwenye gari asingepona.... walikuwa wanaguess kakaaje kwenye gari.... na inaonekana alikuwa lazima apigwe leo maana sio kwa risasi zote hizo mchana kweupe......
 
huyu mtu alikua na nani kwenye gari wakati anashambuliwa? ana hali gani huyo mwenzake? nyumbani alikuwepo nani? hiyo gari kama aliiona inamfuatilia muda mbona hakutoa taarifa polisi? nani alikuwa wa kwanza kusambaza hii taarifa? gari ilishambuliwa ikiwa imesimama au ilikua kwenye mwendo? kwa mtu aliepania kuua inawezekana vipi ammwagie mtu njugu zaidi ya 20 ikosekane kill shot hata moja? huyu hana majirani? waliona au walisikia nini? nani alimpeleka hospitali? hana mlinzi nyumbani kwake? mlinzi hana bunduki? walipanga kumfunga tu mdomo? haiwezekani walimtoa kwanza nje ya gari wakampiga za mkono na tumbo then gari ikapigwa risasi kisha wakamrudisha? kama alikua ndani ya gari wakati wa shambulio alikua amevaa mkanda? tunajua mkanda huzuia mnyumbuliko wakati wa hatari, anapona vipi risasi 20? kama hakua amevaa mkanda tuna assume alijificha baada ya zile zilizopiga kioo kumkosa,, iweje tumbo lipigwe then kichwa au shingo ikoswe kabisa kwenye mazingira kama hayo? bado tunahitaji taarifa zaidi ila uzoefu unaniambia hata baada ya kupona hatozungumzia hilo shambulio tena. kama kibanda, kama mzee tegambwage, kama dr ully, au kama roma tuu
 
Ni wataalamu sana, ila ni Mungu tu ametaka kumlinda Lisu tu adui wa aibike.raia asiye na mafunzo ya silaha amuue Lisu,kwa kisa gani ? Alitaka gari lake ?hapana asinge liharibu kwa risasi.alitaka hela zake ?hapana.alitaka roho ya Lisu,ambayo Mungu Naye alikua akiilinda ili tujue uweza wa Mungu,unavyotisha.Mungu alijua yule aliyeomba aruhusiwe kumuua Lisu,alikua na dhamira ya dhati.Mungu akampinga kwa kuonyesha utukufu na nguvu zake dhidi ya muuaji huyu na walio mtuma.na bado tutashuhudia uweza wa Mungu,ktk hatari zaidi zinazoelekezwa na ccm kwa wapinzani,Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amen....
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.

All of your school of thoughts, may be correct or not. Ila usiidharau hoja ya Internal conflict within CHADEMA. Dhana hii haipaswi kudharauliwa kwa sababu yoyote ile iwayo.

Ukiangalia kwa makini jinsi mambo yanavyokwenda ndani ya CDM, hutashindwa kubaini kuwa kwa sasa Lissu ndo CHADEMA na CHADEMA ndo LISSU. Hata Mbowe au LOWASA hawawapi tena raha na ufahari wanazi wa CDM kama anavyofanya LISSU.

Hakuna mtu ndani ya CHADEMA kwa sasa, mwenye nyota inayon'ara kuliko Lissu.

WHY CHADEMA

Kwa sasa kuna makundi makuu matatu yanayokinzana ndani ya CHADEMA.

1. CHADEMA ASILIA- Kundi hili linaundwa na Wachagga ambao bila ya kujali tofauti yao, ni wafuasi na wafadhili wakuu wa CHADEMA.
2. CHADEMA DEMOKRASIA NA MAENDELEO- Hili ni kundi la Wasomi ambao walijiunga na CHADEMA kama watu wenye mawazo yanayowakilisha Fikra mpya juu ya DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Lissu, ZITTO and the like ni miongoni mwao.

3. CHADEMA LOWASA- Hili ni kundi lenye ukwasi kutoka CCM. Kundi hili kutokana na fedha walizonazo, wanataka kuichukua CHADEMA. Ila kikwazo chao kikubwa ni makundi mawili ya hapo juu.

SABABU ZA MGOGORO

Sababu hasa ya uwepo wa mgogoro ni nafasi ya mgombea wa Urais wa 2020 pamoja na nafasi ya Mwenyekiti wa Chama.

Ukiangalia kwa umakini, nani apeperushe bendera ya CDM ndo chanzo kikuu cha mgogoro kwa sababu Kundi Na.3 linaitaka nafasi hiyo kwa udi na uvumba kutokana na uwekezaji walioufanya ndani ya CDM huku likipata upinzani mkali kutoka Kundi Na. 2 ambalo linaamini kuwa KUNDI LOWASA ndo chanzo cha kuporomoka kwa umaarufu wa CHADEMA.

Kundi Na. 1 halina shida kivile la kutoa mgombea wa urais kwa sababu lipo kimaslahi zaidi na linahitaji mtu wa kusukuma ajenda yao ya CHAGGA DOMINATION MANIESTO. Wao shida yao kuu ni Kutoa Mwenyekiti wa Chama ili chama kiendelee kuwa mikononi mwao.

Kwa hiyo, kwa sasa tishio kuu kwa kundi Na. 3 ni Lissu ambaye amejizoloea umaarufu mkubwa hivi karibuni hadi kumpita LOWASA. Na mbaya zaidi, katika siasa anazofanya Lissu, zinazidi kumfunika LOWASA badala ya kumjenga.

Hili halikubaliki kabisa na Kundi LOWASA ambalo kutokana na rasilimali walizonazo, wanaweza kufanya jambo lolote ili kusafisha njia kwa mgombea wao.

Kwa hiyo, kwa maoni yangu, mgogoro ndani ya CHADEMA haupaswi kubezwa
 
Ni usengerema kudhan jamaa hawakudhamiria kumuua. Unapigaje risasi 20 kama nia yako sio kutaka kuua? Kwanini upige kioo na risasi nyingi usawa wa handle ya mlango kama lengo si kuua?

Kwa akili zenu, ni risasi ngapi zinatosha kuua mtu? Tuwakumbushe tu kwamba baba yake Membe alijiua kwa bunduki kwa bahati mbaya. Alikuwa anaisafisha, ikafyatuka na kumpiga pajani. Risasi moja tu ya pajani ilitosha kuchukua uhai wake maana kinachoua kwenye majeraha ya risasi ni kuvuja damu nyingi au kupigwa kwa vital organs (kichwa, shingo,kifuani).

Kwamba yuko hai mpaka sasa ni rehema za Mungu tu.
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Sasa wewe unategemea watu waliotumwa na Bashite watakuwa na target?? Wao wameinyeshwa namna ya kubonyeza kitufe na ilivyotokea mashine ilikuwa imemzidi uwezo ikawa inacheza. Unaambiwa mke yaani Bashite hajawahi kukosa katika mikutano zote za kujionyesha ikulu ila leo hakuwepo jiulize. Bashite alikuwa wapi. Bashite alikuwa busy kuwasiliana na vijana wake waliokuwa wanamfuatilia Lisu. Yaani Bashite ni Magufuli wa pili huyu Bashite atakufa kifo kibaya subirini mtakuja sema siku moja
 
true ila kuna watu wanatamani waambiwe ni ccm tuu watalazimisha mpaka basii yaani hadi unashangaa kwani lissu hana maisha mengine zaidi ya siasa ?hana maadui nje ya siasa?? ...nahisi watu wamegeuza watu miungu...tusubiri hizi kiki zinavyotafutwa kwa nguvu

bado tuko hai tatizo ajira
 
dhamila inawasuta wana ccm inaelekea watu kama nyinyi mulikuwa kwenye kamati za kutekeleza hayo mauaji vipi ulihudhuria jana kupokea ripoti mujuwe mupandacho ndicho mutakachovuna
 
Sasa wewe unategemea watu waliotumwa na Bashite watakuwa na target?? Wao wameinyeshwa namna ya kubonyeza kitufe na ilivyotokea mashine ilikuwa imemzidi uwezo ikawa inacheza. Unaambiwa mke yaani Bashite hajawahi kukosa katika mikutano zote za kujionyesha ikulu ila leo hakuwepo jiulize. Bashite alikuwa wapi. Bashite alikuwa busy kuwasiliana na vijana wake waliokuwa wanamfuatilia Lisu. Yaani Bashite ni Magufuli wa pili huyu Bashite atakufa kifo kibaya subirini mtakuja sema siku moja
Hivi Leo hakuwepo? Why
 
we mkuu moyo wa nyama MUNGU HEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
Duh. Watu wana miungu mingi hadi yenye mioyo ya nyama [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
true ila kuna watu wanatamani waambiwe ni ccm tuu watalazimisha mpaka basii yaani hadi unashangaa kwani lissu hana maisha mengine zaidi ya siasa ?hana maadui nje ya siasa?? ...nahisi watu wamegeuza watu miungu...tusubiri hizi kiki zinavyotafutwa kwa nguvu

bado tuko hai tatizo ajira
maadui ni ccm na mwenyekiti wa ccm na mwanawe bashite
 
Back
Top Bottom