Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

Viashiria vya utawala wa kidikteta vinazidi kuongezeka,mkae mkao wa kula watanganyika mambo sio mambo kama mnavyodhani.
 
Viashiria vya utawala wa kidikteta vinazidi kuongezeka,mkae mkao wa kula watanganyika mambo sio mambo kama mnavyodhani.
 
Kuna kila dalili hilo tukio lilipangwa na yule jamaa anayependa kuandaa matukio halafu mwisho wa siku huwa anafeli.

Ila wamesahau kuwa Mungu ni wetu sote, na pia wakumbuke haya madhila yana mwisho.

Mwandishi Mbunda Msokile aliwahi kuandika riwaya iitwayo, Usiku utakapokwisha, nadhani hakukosea kabisa.

Get well soon Comrade TL.
 
Wewe ni mshenz kama wengine, so ungesifia wangetumia risas moja na kutekeleza lengo lao??

Naomba nikwambie , hata ukisa snayper. Mungu kama hapend mtu wake afe huwez kumuua. Kama wewe ni mdogo wake na ibiris hutanielewa
 
Hawa wahusika ni wataalumu wakubwa wao lengo lao ilikuwa ni kumaliza walijua wameshamaliza kumbe Tundu Lissu bado Mungu anampenda.
 
Risasi zaidi ya 20 kushindwa kumuua mtu hata angekuwa kwenye kifaru cha jeshi, huo unaitwa MUUJIZA, na hiyo inaweza kuwa ndio turning point ya wazee wa kiki.

Kwangu utakuwa ni muujiza wa pili wa kitaifa baada ya ile ajali ya Mwakyembe...
Siku mkibingilika na ma-pick up yenu na ma-land cruisers yenu kwenye uvungu wa fuso kama ilivyotekea hapa majuzi huko marangu Moshi mkafa kadhaa mkitoka kwenye kuwadanganya wananchi na watu waliposhangilia humu mkalalamika msilalamike tena...

sent from my Infinix S2 Pro using JamiiForums mobile app
 
Mola wetu mponye Lisu, hizi mada zingine kichefuchefu.
 
ni ngumu sana kumua mtu kwa kumstukiza na kwa papara tena mtu ambaye kashastuka una mfatilia siku zote ili kumuua mtu inatakiwa muwaji awepo kwny eneo la tukio kabla target yke hajafika eneo husika tunachoshukuru Lissu ni mzima

G.O.M.D
 
Hahaha mie Najichekea tu
taharuki kila kona
kila mtu anaandika lake!!
Ngoja tuone
Mmoja Wa watu waliofurahi (ndio maana unajichekea wakati wengine wanahudhuni) ni wewe. Chuki yako kwa viongozi Wa Chadema huwa iko wazi kabisa
 
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.

Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao wahalifu sio watu waliojifunza matumizi ya silaha maana zimepigwa rondom bila mpangilio.

Wengi waliojifunza matumizi ya silaha huwa wanapiga kwa target na mpangilio maalumu.

Nakumbuka niliwahi kuanzia Uzi humu kama wito wa kukusanya silaha haramu toka kwa wanainchi kama Lyatonga Mrema alivyofanya.
Hii vita mliyoianzisha ccm tusubiri
Hahaha mie Najichekea tu
taharuki kila kona
kila mtu anaandika lake!!
Ngoja tuone
 
Mkuu ulitaka wawe wataalamu ili wamuue!

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom